Sasa vitabu vinapatikana popote ulipo.Bila kujali ni kitabu cha aina gani na ulikiona wapi, kupitia mawasiliano yetu utaletewa popote ulipo.
Vitabu vinavyopatikana kwa sasa ni Hard copies na E-books.Hard copies ni kwa aina zote za vitabu na E-Books ni kwa baadhi ya vitabu (short skills books).Unaweza kujipatia kwa jumla na rejareja bila kujali wilaya au mkoa unaoishi .
Aina ni zote , ikiwamo
GENERALITIES,
PHYLOSOPHY & PSYCHOLOGY,
SOCIAL SCIENCE,
LANGUAGE,
NATURAL SCIENCE & MATHEMATICS,
TECHNOLOGY ( APLIED SCIENCE),
THE ART,
LITERATURE & RHETORIC,
GEOGRAPHY & HISTORY.
BEI YETU ITAKUWA IKITANGAZWA KWENYE UKURASA WETU WA FACE BOOK. HIVYO LIKE UKURASA WETU UPATE TAARIFA MPYA KILA WAKATI .KWA KUWA NI VIGUMU KUTANGAZA BEI YA KILA KITABUWASILIANA NASI KUPITIA MAWASILIANO YAFUATAYO,
E-mail : mwamalopa2@gmail.com
Simu : 0758 73 17 13
Simu : 0653 67 00 13
TUKO ILALA/ DAR ES SALAAM/ TANZANIA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni