Jumanne, 27 Januari 2015

SASA SIMU YAKO INAWEZA KUWA DARASA LAKO


SIMU INAWEZAJE KUWA DARASA LANGU?

Hii ni kampeni maalumu ya elimika kupitia simu yako.

sasa simu yako inaweza kukusomesha au kusomesha mwanao elimu ya secondary mwaka huu?
hakuna gharama,utasoma hapo ulipo kwa mchango utakaoweza.

Hakuna gharama ya form utajiunga kupitia e-mailyako na utakuwa ukilipa kupitia simu yako.
masomo ni ART na yote yametafsiriwa kiswahili.Utasoma bila msaada wa mwalimu.

Hii ni kwa wanao-reseat  na wale wa darasa la saba na kwa kozi za kiingereza.Baadaye tutakuwa na kozi fupi za kompyuta.

ITAWEZEKANAJE?
Kila siku utasoma masomo matatu na unachohitaji ni simu yeyote yenye  uwezo  wa kuingia internet hata kama huimiliki wewe.Unaweza kuazima kwa muda kwaajili ya kunakili ulichotumiwa katika kifaa utakachotumia kuhifathia notes zako.

Pia utahitaji kuwa na E-mail kwaajili ya kupokelea Masomo yako. Kama huna uwezo wa kufungua E-mail utatujulisha nasi tutakufungulia moja kwa moja na kukutumia kumbukumbu za E-mail yako.

Hakuna hofu ya jinsi utakavyoweza kutamka maneno ya kiingereza kwa kuwa katika kila mwisho wa topic utawekewa tafsiri ya maneno mapya yaliyotumika na jinsi yanavyotamkwa.Je hii sio ajabu nay a pekee katika ulimwengu huu wa utandawazi.

FAIDA ZA KUTUMIA HUDUMA HII
      1.       Utasoma ukiwa popote kupitia simu yako

      2.       hutahitaji kamusi kwaajili ya kupata maana ya baadhi ya maneno wakati wa kufanya marejeo ya notes zako.

      3.       Utakuwa na uhakika wa kupata masomo yako kila siku bila kujali dharula zozote utakazozipata au zitakazojitokeza.

      4.       Utakuwa na uhakika wa kufaulu mitihani yako kwa kuwa utafundishwa katika uhalisia zaidi na sio kama ilivyo mashuleni ambapo unajifunza kupitia sehemu za picha za vitabuni tu.

      5.       Utanufaika na masomo ya ziada yanayohusu matumizi ya mitandao,computa,ujasiriamali,nk.

      6.       Utatumia gharama ndogo kuliko unazoweza kutumia mahala kwingine popote kama utahitaji elimu hii.Hakuna mtu yeyote anayeshindwa kulipa gharama ya sh.2000 (elfu mbili) kwa wiki.

       7.Kwa wale wa darasa la saba, utafanya mtihani wa kidato cha pili ndani ya mwaka mmoja na wale wa kidato cha tatu na nne pamoja na wanaofanya upya baadhi ya masomo watafanya mtihani wa taifa kwa mwaka mmoja.Kwa kidato cha kwanza mpaka cha nne utasoma miaka miwili.

      8.       Hutahitaji kwenda mahali kokote kwaajili ya malipo bali utalipa kupitia simu yako.


WASILIANA KUPITIA

NAMBARI YA SIMU 0758 731 713

OFFICE :TAZARA AREA DAR ES SALAAM.